Headlines nyingine kutoka Marekani zimechukuliwa na mke wa rapper T.I kufungua rasmi kesi ya madai ya talaka kwa kile kinachosemekana kuwa amechoshwa na drama za T.I ambazo haziishi. Hii inakuja miezi michache tangu T.I kusema anaweza kumuacha mkewe kwa sababu alipiga picha na kucheza muziki na Floyd Mayweather ambaye ni hasimu wake.
T.I na Tiny wamekuwa katika ndoa tangu mwaka 2010 na kufanikiwa kupata watoto watatu katika ndoa na wengine wanne nje ya ndoa hivyo wana jumla ya watoto saba.
Comments
Post a Comment