Ikiwa weekend ndio inaraibia kuisha na kama kawaida huwa sipendi upitwe na chochote kinacho trend kwenye mitandao ya kijamii. Leo January 15 2017 nimekutana na stori ya staa muimbaji KCEE wa Nigeria ambaye amedaiwa kuwa na amekuwa akizifanyia photoshop (kuedit picha kwa utaalamu ili kuonyesha uhalisia tofauti) baadhi ya picha zake. Ni kawaida kuedit picha lakini pale ambapo inaonekana kupoteza uhalisia kabisa inakuwa ishu nyingine. Mtandao wa habari za burudani wa Marekani wa Theshaderoom.com umeandika kuwa baadhi ya picha ambazo msanii huyo amekuwa akipost sio za kweli haswa ile ambayo ameonekana yuko na Christiano Ronaldo . TSR STAFF: Talia O. @theclosetratchet on Instagram & @tallyohhh on Twitter! Roommates, have any of you ever used photoshop to touch up a blemish on your face or to make the background of your image more lively? Well, TheNet.Ng is questioning #Naija singer #Kcee’s Instagram photos, because it looks like...