Skip to main content

Tumuache Harmorapa afanye yake – Lady Jaydee

Malkia wa Bongo Fleva nchini Lady Jaydee amefunguka kuhusu Harmorapa ambaye amekuwa akiteka vichwa vya habari kutokana na stori zake zikiwemo nyingi za kuvunja mbavu.
Jaydee amekiambia kipindi cha FNL cha EATV kuwa haoni tatizo kwa rapper huyo chipukizi kwa kuwa kila msanii ana njia zake ambazo anatumia za kufikisha sanaa yake inapotakiwa kufika.
“Tumuache afanye yake, unajua kila mtu ni ambavyo anaweza kuiwakilisha sanaa yake, kwahiyo mimi naona yuko poa,” amesema muimbaji huyo.
Jide ameongeza kuwa alifurahi sana baada ya kuona clip ya video ikimuonyesha Harmo akitoka nduki baada ya mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kuonyeshewa bastola Alhamisi hii
SOURCE BONGO5

Comments

Popular posts from this blog

MARIO BALOTELLI BADO ANDELEZA VITUKO VYAKE

Mchezaji mtukutu Mario Balotelli bado anaendelea na vituko vyake baada ya  kupata kadi nyekundu na kutolewa nje ya dimba kwenye dakika za majeruhi wakati timu yake ya Nice ilipotoka suluhu ya 0-0 na Bordeaux. Hii ilikuwa ni katika mtanange wa Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Sare hiyo ya bila kufungana inaifanya klabu hiyo ya Nice kuzidi kukaribiwa point na klabu ya soka ya Monaco kwenye msimamo wa ligi hiyo ambapo sasa inaongoza kwa tofauti ya alama 2 pekee. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Manchester City alipatiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Lewczuk ambaye ni beki.

CARLOZ TEVEZ AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA UTOTONI

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoo na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla, mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina. Tevez amefanikiwa kupata watoto wawili na mpenzi wake huyo ambaye alianza nae urafiki tangu akiwa ana umri wa miaka 13. Carlos Tevez akiwa na mkewake na watoto wao Florencia (left) na Katie (right) naomba maoni yako kuhisiana na alicho kifanya tevez

PICHA ZA MUONEKANO WA GARI LA SIMBA SPORT CLUB

Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya  wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo. Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.