T.I. na Bow Wow wamemkingia kifua Snoop Dogg kwa kuumporomoshea matusi mazito Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Trump kumkosoa Snoop kwa kumkejeli kwenye video ya wimbo wake ambayo inaonesha akimpiga risasi mtu anayefanana na Rais huyo. “Can you imagine what the outcry would be if @SnoopDogg, failing career and all, had aimed and fired the gun at President Obama? Jail time,” aliandika Trump kwenye Twitter.
Baada ya kauli hiyo, Bow Wow alimuambia Trump: Ayo @realDonaldTrump shut your punk ass up talking shit about my uncle @SnoopDogg before we pimp your wife and make her work for us.”
Naye T.I. ameandika kwenye Instagram: “@snoopdogg is a Fuckin Legend u Fucking Tangerine Tanned Muskrat scrotum skin, Lacefront Possum fur Wig wearing, Alternative fact, Atomic Dog diarrhea face ass man,” he wrote. “Leave our legends names out ya fuckin old ass puppy piss smelling ass mouth & continue to focus on dividing minorities,building barriers, alienating immigrants, &fuckin this country up like u been doin…. #UWannaBeDictator#PresidentialLevelFuckBoy.”
ANGALIA VIDEO YA DIAMOND AKISEMA HANA BIFU NA ALLY KIBA
Comments
Post a Comment