Skip to main content

TUZO ZA MZIKI NIGERIA WASHINDI HAWA HAPA

Tuzo za muziki kutoka nchini Nigeria “HEADIES2016” zimetolewa usiku wa kuamkia leo December 23, 2016 na tayari wametangazwa washindi wa jumla kwenye tuzo hizo. Moja kati ya story kubwa ilikuwa ni kuondolewa jina la star muimbaji Tekno ambaye alidai kuwa amepangwa kwenye kipengele wasanii wanaoanza kufahamika wakati yeye tayari ni msanii mkubwa, hivyo akataka jina lake liondolewe.
Nimekuwekea hapa Full List ya washindi wa tuzo hizi.
*BEST POP SINGLE*
1. Pick Up – Adekunle Gold
2. Final ( Baba Nla ) – Wizkid
3. Fada Fada – Phyno Feat. Olamide
4. Money – Timaya Feat. Flavour
5. Reggae Blues – Harrysong Feat. Orezi, Iyanya, Olamide, Kcee – WINNER
6. Osinachi – Humble Smith Ft. Davido
7. Emergency – D’banj
*BEST VOCAL PERFORMANCE ( FEMALE )*
1. Simi – Love Dont Care – WINNER
2. Aramide Feat. Adenkule Gold – Love Me
3. Omawumi Feat. Angelie Kidjo – Play na Play
4. Seyi Shay – Right Now
BEST R & B / POP ALBUM
1. Seyi Or Shay – Seyi Shay
2. Wanted – Wande Coal
3. Naked – Darey
4. Klitoris – Brymo
5. New Era – Kiss Daniel – WINNER
BEST RAP SINGLE
1. Eyan Mayweather – Olamide – WINNER
2. Chukwu Agozi Gogi – Ill Bliss
3. Agu Ji Ndi Men – A-Q
4. Asamalekun – Reminisce
5. Jagaban – YCEE
6. Show You Something – Boogey
*HALL OF FAME*
*Laolu Akins*
*BEST VOCAL PERFORMANCE ( MALE )*
1. Darey Feat. Soweto Choir – Pray For Me
2. Brymo – Something Good Is Happening
3. Wande Coal – Super Woman
4. Shaydee – Smile – WINNER
5. Ric Hassan – Gentleman
*BEST REGGAE / DANCEHALL SINGLE*
1. Body Hot – Praiz Ft. Jesse Jagz & Stone Bwoy
2. Olowo – Cynthia Morgan
3. Jaga LOVE – JESSE JAGZ
4. No Kissing – Patoranking Ft Sarkodie – WINNER
5. TIMAYA – I LIKE THE WAY
6. PAM PAM – KETCHUP
*BEST STREET-HOP ARTISTE*
1. AJEBUTTER FEAT. FALZ – BAD GANG
2. SMALL DOKTA – GBERA
3. 2T BOYS – CUSTOMER DADA NI
4. YCEE – JAGABAN
5. KOKER – KO LE WERK
6. Olamide – Who You Epp – WINNER
*BEST MUSIC VIDEO*
1. Bad – Tiwa Savage Feat. Wizkid – Sesan
2. Soldier ( Falz Tha Bad Guy ) – Clarence Peters – WINNER
3. Emergency ( D’BANJ ) – Unlimited LA
4. Made For You – Banky W.
5. Mary ( Seyi Shay ) – Meji Alabi
BEST COLLABO
1. Soldier – Falz Feat. Simi – WINNER
2. Osinachi – Humblesmith Feat. Davido
3. No Kissing – Patoranking Feat. Sarkodie
4. Reggae Blues – Harry Song Feat. Orezi, Iyanya, Olamide, KCEE
5. Wait – Solidstar Feat. Tiwa Savage
6. Money – Timaya Feat. Flavour
BEST RAP ALBUM
1. Eyan Mayweather – Olamide
2. Stories That Touch – Falz
3. Powerful – Ill Bliss – WINNER
4. Lil’ Kesh – Yagi
*PRODUCER OF THE YEAR*
1. Pheels – PICK UP & LAGOS BOYS – ( Olamide )
2. Mastakraft – FADA FADA, CONNECT – ( Phyno )
3. Young John – MAMA – ( Kiss Daniel ) – WINNER
4. DJ Coublon – GOOD TIME & RABA
5. Oscar Herman – Ackah – PRAY FOR ME – ( Darey )
6. Legendury Beats – FINAL & BABA NLA ( Wizkid )
*LYRICIST ON THE ROLL*
1. YCEE – Jagaban
2. Modenine – No Matter What
3. Boogey – Show You Something
4. Ill Bliss – Chukwu Agozi Gogi – WINNER
5. A-Q – Agu Ji Ndi Men
6. Reminisce – Asamalekun
*NEXT RATED*
Ycee
Aramide
Humble Smith
Mr. Eazi – WINNER
HIP HOP WORLD REVELATION

Comments

Popular posts from this blog

MARIO BALOTELLI BADO ANDELEZA VITUKO VYAKE

Mchezaji mtukutu Mario Balotelli bado anaendelea na vituko vyake baada ya  kupata kadi nyekundu na kutolewa nje ya dimba kwenye dakika za majeruhi wakati timu yake ya Nice ilipotoka suluhu ya 0-0 na Bordeaux. Hii ilikuwa ni katika mtanange wa Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Sare hiyo ya bila kufungana inaifanya klabu hiyo ya Nice kuzidi kukaribiwa point na klabu ya soka ya Monaco kwenye msimamo wa ligi hiyo ambapo sasa inaongoza kwa tofauti ya alama 2 pekee. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Manchester City alipatiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Lewczuk ambaye ni beki.

CARLOZ TEVEZ AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA UTOTONI

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoo na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla, mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina. Tevez amefanikiwa kupata watoto wawili na mpenzi wake huyo ambaye alianza nae urafiki tangu akiwa ana umri wa miaka 13. Carlos Tevez akiwa na mkewake na watoto wao Florencia (left) na Katie (right) naomba maoni yako kuhisiana na alicho kifanya tevez

PICHA ZA MUONEKANO WA GARI LA SIMBA SPORT CLUB

Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya  wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo. Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.