Kocha wa klabu ya soka ya Manchester United, Jose Mourinho amedai kuwa mchezo wa kutumia nguvu nyingi unatumiwa na timu ya Chelsea itakuwa ni vigumu kwa timu yake kushinda taji la ligi kuu ya Uingereza.
Mourinho amekiambia kituo cha Sky Sport kuwa haitakuwa rahisi kwa United ambayo ipo nyuma ya Chelsea kwa pointi 13 kuweza kuziba pengo hilo hasa ukizingatia timu hiyo inacheza mchezo wa kukaba zaidi.
“They score one goal and they win, they defend a lot, they defend well, they are winning and in the last 20 minutes they bring defenders in, they don’t care what people say, what people think, they just want to win,” amesema Mourinho.
“And because of that, I don’t see them losing many points. It is mathematically possible [for United to win the league], but it is very difficult to happen for us. The difference is considerable,” ameongeza.
Kocha huyo amefunguka kuwa hawatarajii kushika nafasi ya nne kwenye ligi hiyo mwisho wa msimu kwa kuwa wanaweza kufanya vizuri na kukaa kwenye nafa
si ya juu zaidi ya hiyo
Comments
Post a Comment