STORY BY ABDALLAH JONGO STORY INAHUSU MASWAIBU YA MKE WA MTU SEHEMU YA KWANZA Whatsapp...0757357341 Ilikua muda ya saa kumi na moja alfajiri katika kijiji cha Koromije kwenye nyumba ya amina kulitokea na zogo kubwa ambalo lilileta sintofahamu kwa bwana Athumani na binti Amina kwani siku hiyo bwana Athumani alikua amesikia maneno kutoka kwa jirani zao kua mke wake Amina hua anaaga nana kwenda kuswali alfajir kumbe anaenda kwa bwana john kitendo cha mmewe kumkataza kuto kwenda kuswali aliona kama anaonewa hii au atendewi haki.................................... Ilichukua takiribani saa nzima la zogo mpaka watu walio kua wana pita kusikia mizozo ilio kua ina endelea kwa bwana Athuman na watu wakalazimika kuonga hodi kujua tofauti zao lakini hilo swala likazungumzwa na wapita njia mpaka wakafikia mua faka ilipita takribani wiki moja wakiishi kwa kutokua na mazungumuzo madhuri katiyao mwanamke aliomba ruhusa ...