Skip to main content

MASWAIBU YA MKE WA MTUU SEHEMU YA KWANZA

STORY BY ABDALLAH JONGO
STORY INAHUSU MASWAIBU YA MKE WA MTU
SEHEMU YA KWANZA
Whatsapp...0757357341



           Ilikua muda ya saa kumi na moja alfajiri katika kijiji cha Koromije kwenye nyumba ya amina kulitokea na zogo kubwa ambalo lilileta sintofahamu kwa bwana Athumani na binti Amina kwani siku hiyo bwana Athumani alikua amesikia maneno kutoka kwa jirani zao kua mke wake Amina hua anaaga nana kwenda kuswali alfajir kumbe anaenda kwa bwana john kitendo cha mmewe kumkataza kuto kwenda kuswali aliona kama anaonewa hii au atendewi haki....................................
          Ilichukua takiribani saa nzima la zogo mpaka watu walio kua wana pita kusikia mizozo ilio kua ina endelea kwa bwana Athuman na watu wakalazimika kuonga hodi kujua tofauti zao lakini hilo swala likazungumzwa na wapita njia mpaka wakafikia mua faka ilipita takribani wiki moja wakiishi kwa kutokua na mazungumuzo madhuri katiyao mwanamke aliomba ruhusa ya kwenda kwao kumuuguza mama yake alie kua akiumwa.....................................................
       Mwanaume alimpa ruhusa ya kwenda kumuuguza mama yake.Bwana Athumani akaamua kumsindikiza hadi stend kumbe mkewe analake jambo alipanda gari na kwenda kushukia kijiji cha pili kilicho kua kina itwa twaweza...................
TUTAENDELEA KESHO MUDA KAMA HUU ...........
     KINGJONGO TV

Comments

Popular posts from this blog

MARIO BALOTELLI BADO ANDELEZA VITUKO VYAKE

Mchezaji mtukutu Mario Balotelli bado anaendelea na vituko vyake baada ya  kupata kadi nyekundu na kutolewa nje ya dimba kwenye dakika za majeruhi wakati timu yake ya Nice ilipotoka suluhu ya 0-0 na Bordeaux. Hii ilikuwa ni katika mtanange wa Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Sare hiyo ya bila kufungana inaifanya klabu hiyo ya Nice kuzidi kukaribiwa point na klabu ya soka ya Monaco kwenye msimamo wa ligi hiyo ambapo sasa inaongoza kwa tofauti ya alama 2 pekee. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Manchester City alipatiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Lewczuk ambaye ni beki.

CARLOZ TEVEZ AFUNGA NDOA NA MPENZI WAKE WA UTOTONI

Mshambuliaji wa zamani wa vilabu vya Manchester United na City, Carlos Tevez hatimaye amefunga ndoo na mpenzi wake wa tangu utotoni, Vanesa Mansilla, mjini San Isidro, Buenos Aires nchini Argentina. Tevez amefanikiwa kupata watoto wawili na mpenzi wake huyo ambaye alianza nae urafiki tangu akiwa ana umri wa miaka 13. Carlos Tevez akiwa na mkewake na watoto wao Florencia (left) na Katie (right) naomba maoni yako kuhisiana na alicho kifanya tevez

PICHA ZA MUONEKANO WA GARI LA SIMBA SPORT CLUB

Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya  wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo. Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.