Moja kati ya majiji yenye historia ya mchezo wa soka nchini England ni pamoja na Merseyside, jiji ambalo linatoa team kamaLiverpool na hata Everton.
Huwa kinanuka mbaya timu hizo zinapokutana kutokana na upinzani uliopo baina yao na mambo mengine kibao. Leo April 1 Everton ni mgeni wa Liverpool.
inakupa nafasi ya kuitazama LIVE game hiyo kwa kubonyeza maandishi mekundu hapa chini.
Comments
Post a Comment