Davido amemrejesha kazini meneja wake wa zamani kabla ya Kamal Ajiboye aliyemfuta kazi mwezi uliopita kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kuyumba kwa biashara na matumizi mabaya ya pesa.
Kupitia Twitter, Davido amemtangaza Asa Asika kuwa meneja wake mpya kwa sasa, “Welcome back yellow MAN @AsaAsika ! BACK TO BASICS!”
Asa Asika aliwahi kuwa meneja wa msanii huyo mwaka 2012 lakini baadaye walitibuana kwa sababu hizo hizo za masuala ya kibiashara.
Comments
Post a Comment