Skip to main content

DIVA AANGUKIA KATIKA PENZI LA MWANAMZIKI WA RNB HERIMZIKI

Diva The Bosslady ametufungulia hadi ndani ya ulimwengu wake mpya wa mapenzi
.
Amezama, ameoza katika penzi la msanii wa ‘Nakukumbukaga’, Heri Muziki.
Jumapili hii ametumia Instagram kuonesha namna alivyokufa na kuzimia kwa muimbaji huyo. Mtangazaji huyo wa Clouds FM amepost video kadhaa akipeana mabusu ya kina Heri. Na hajaaacha kuandika maneno mazito kuonesha anavyompenda muimbaji huyo.
“@herimuziki is The Key to My Happiness .. i chose to be Happy 💞 My beib is so damn CUTE Mashaallah 🔥 #Lovebirds,” ameandika kwenye video moja.
Kwenye nyingine ameandika, “@herimuziki is My Mr. perfect, The Most Handsome, My cute Pie , dope, sexy, Good Kisser , UGH YOUR My Perfect COMBO ❤YOUR MY WORLD, MY EVERYTHING 🌎🔐you make me so happy,I love you babe so much and I wanna Have your Cute Babies (twins) My Love 💅🏻 💞💞 #LoveBirds Kwanza @soudybrown keshakupitisha .. hamna namna , shemeji yenu Guys stak maneno zaidi.”
Kama kawaida, si wote waliopendezwa na uhusiano huo na Diva hajawalazia damu.
“Kwanza GoodMorning Instagram, nadhan Jana was My day nime break The Internet ryt?! afu nikawa naona wachache mapovu kisa mempost baby? Damn it you guys got the nerves ryt?! Kwanza mnaanzaje Pata hio Power Kuniingilia My personal Life? Y’all don know a shit about me , Mimi ni mtu ambae nafanya what makes me happy and i live in a moment, Life is too Short Jaman so Im living My Life wether Im right or wrong,” ameandika.
“Nikiwa na mahitaji muhimu sana ya maisha or Lonely or gotta Pay bills sionag ushaur wa Mtu humu au hata kunichangia sent, I do things ma way i pay ma own bills, same happenin to ma love life if i wanna be with someone ntakuwa nae as long as Im happy na ntaonyesha’ i live in ma world ,@herimuziki is a young man, yeah but very handsome , damn it My baby is too Cute for days man gota floss alito.”
“It happens so often; people go out of their way to look for faults in others. Everyone has an opinion about you. Lit everyone has an opinion yaan Nilipokuwa In my room crying na mambo ya hapa na pale sijaona mtu akija akisema everything is gon be alright but Heri was there , so shut the f*ck up everybody. Nasema Sasa He is The One and Only yaan @herimuziki is My one and Only , Mliotoka so called Povu Mitaa ya Insta nasema Hi, and nawashauri to Try to find peace in all that you do. You can if you make the Almighty your priority. Be nice & kind, i forgive you, y’all kno My heart is clean i don hold grudges , mnajua Part of the problems we face in this society iliojaa Gossip na kunyoosha vidole is because we overreact to minor things. i understand tho and tryin nat to take things too personally. ila gotta take this off my chest yaan Mniwacheeeeey Kwa raha zangu sigombwi na mtu mmesikia?!”
“Nyie wote mna mabwana huko nyumban kwenu mna kiss na wengine mnalala nao yaan usiku kucha na sijawah gonga mlango kuuliza eeh vipi coz nat steppin that low asking about mambo ya mtu personal, kila mtu na maisha yake na mfano mie nikifa ntakufa mwenyewe sitaenda Kaburini na Mtu , Just saying Society is so stressed today that it’s easy to dismiss people rudely. Remember to be compassionate. Everyone’s fighting inner battles. and if you have nothing good to say about someone then stfu.”

Comments

Popular posts from this blog

PICHA ZA MUONEKANO WA GARI LA SIMBA SPORT CLUB

Basi la klabu ya Simba SC aina ya Yutong sasa lina muonekano mpya baada ya  wadhamini wazamani TBL kupitia Kilimanjaro kumaliza mkataba wao na timu hiyo. Mwonekano wake safari hii, kuna picha za wachezaji mbalimbali.

MCHEZAJI WA NICE YA UFARANSA AMESEMA ALIKUA MWATHIRIKA WA UBAGUZI WA RANGI

Mchezajiwa wa klabu ya Nice ya nchini Ufaransa Mario Balotelli anasema kuwa alikuwa mwathiriwa wa ubaguzi wa rangi wakati wa mechi ya Ijumaa dhidi ya Bastia. Balotelli ambaye mchezaji hyo wa zamani wa Liverpool mwenye umri wa mika 26 aliandika katika mtandao wa kijamii akisema, ni jambo la kawaida kwamba wafuasi wa Bastia hufanya makelele ya tumbili kwa mechi yote na hakuna mtu katika idara ya adhabu anayechukua hatua? ”Kwa hivyo ubaguzi wa rangi ni sheria halali nchini Ufaransa? Ama ni Bastia pekee? Soka ni mchezo mzuri lakini watu kama wafuasi wa Bastia wanaharibu.Ni aibu kubwa”. Balotelli ambaye alicheza dakika 90 aliporudi uwanjani baada ya kutumikia adhabu yake ya mechi waliyo toka sare ya 1-1 huko Corsica. Ujumbe huo uliotumwa katika mtandao wa Instagram ulisambazwa na Nice katika mtandao wa Twitter wa klabu hiyo. Jopo la adhabu la ligi ya Ufaransa ambalo hutoa maamuzi halijatoa tamko lolote. Balotelli amesha funga mabao 10 katika mechi 15 tangu alivyo jiunga na ...

MARIO BALOTELLI BADO ANDELEZA VITUKO VYAKE

Mchezaji mtukutu Mario Balotelli bado anaendelea na vituko vyake baada ya  kupata kadi nyekundu na kutolewa nje ya dimba kwenye dakika za majeruhi wakati timu yake ya Nice ilipotoka suluhu ya 0-0 na Bordeaux. Hii ilikuwa ni katika mtanange wa Ligi Kuu ya Ufaransa maarufu kama Ligue 1. Sare hiyo ya bila kufungana inaifanya klabu hiyo ya Nice kuzidi kukaribiwa point na klabu ya soka ya Monaco kwenye msimamo wa ligi hiyo ambapo sasa inaongoza kwa tofauti ya alama 2 pekee. Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool na Manchester City alipatiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Lewczuk ambaye ni beki.