Inaweza kuwa nadra kusikia mtu akikwambia anataka kuanza biashara ya kuuza Mbwa ila ni biashara ambayo inafanywa na watu wachache na hawakosi senti zao.
iSamson Magoli ambaye ni mkazi wa Mwanza, huingiza sio chini ya shilingi milioni mbili kwa mwezi na alianza kwanza kwa kuwapenda Mbwa na ni zaidi ya miaka mitatu toka aianze hii biashara.
Mbwa wake wa kwanza kumuuza pesa nyingi alimuuza kwa shilingi milioni moja na laki nne, wengine kwa mwaka huu amekua akiwauza kwa shilingi laki moja na nusu mpaka laki mbili,
Comments
Post a Comment