Kweli More Life imekuwa tishio kubwa sana na mafanikio makubwa.
Baada ya kuachia project yake ya More Life, Drake amekuwa akiingia kwenye rekodi tofauti tofauti katika ishu ya muziki, ila Good Newz nyingine ni kwamba Drake amezizima rekodi mbili za Billboard Hot 100 ya kwanza ni most hits by any solo artist ever (154)na simultaneous hits on the chart (24).
Rekodi zote hizo zimemfanya Drakekumfunika Lil wayne na kumtupa katika nafasi ya pili akiwa na jumla ya entries 135 na 21 debuts, hii inaonyesha jinsi gani kundi la Young Money lilivyokuwa tishio kwa sasa, Nicki Minaj yeye ndio amekalia kiti na kuvishwa cheo cha mwanamke anayeongoza solo artist.
More Life ndio project ambayo imeshafikisha takribani unit 505,000 za project hiyo na kuifanya kukaa kwenye Billboard 200 katika wiki yake ya kwanza kushinda ile ya Views
Comments
Post a Comment